Amenisamehe Lyrics Israel Mbonyi
Jesus Loves You
No Matter Your Sins in the Past
He Gave His Life so You Might Live
Come to Him Today
Amenisamehe Lyrics
[Chorus]
Damu yake iliyomwagika
Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele
Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
[Verse 1]
Utakatifu na Umungu alivua
Kakubali kufunua
kile kitabu
Kaja tafuta aliyepotea
Huyo ni mi niliyemsulubisha
Kaja tafuta aliyepotea
Huyo ni mi niliyemsulubisha
Nyalaka za mashitaka
Zilikuwa nyingi
Babiloni yote ilijua jina langu
Ila baada ya kifo chake
Damu yake Yesu
Ilishinda hukumu
Ila baada ya kifo chake
Damu yake Yesu
Ilishinda hukumu.
[Chorus]
Damu yake iliyomwagika
Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele
Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
[Verse 2]
Sikiliza we mlima nikwambie
Nimesimika bendela
Ya ukumbusho
Nitarudi nikushuhudie,
Amenibadisha akanipa jina jipya
Sitaomdoa mguu wangu
katika hilo bwawa
La damu yake Yesu.
Nitarudi nikushuhudie,
Amenibadisha akanipa jina jipya.
Sitaomdoa mguu wangu
katika hilo bwawa
La damu yake Yesu.
[Chorus]
Damu yake iliyomwagika
Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele
Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
[Verse 3]
Mimi sio tena wanayenitegemea
Bali yule Mungu anae nitakia
Menibadilisha kwa damu yake
Amefuta majina ya kale
Akanipa jina jipya
Menibadilisha kwa damu yake
Amefuta majina ya kale
Akanipa jina jipya.
Wengi walifikiri mi ni yule wa kale
Wengi walidhani bado
natenda ya kale
Sikilizeni nimebadilishwa,
Amefuta majina ya kale
Akanipa jina jipya
Sikilizeni nimebadilishwa,
Amefuta majina ya kale
Akanipa jina jipya.
[Chorus]
Damu yake iliyomwagika
Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele
Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
Damu yake iliyomwagika
Imeshinda hukumu yote
Imeniweka huru tele
Ninaimba nimesamehewa
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe
Ameniwaka huru télé
Ninaimba amenisamehe.
Amenisamehe Lyrics
OFFICIAL VIDEO
Lyrics Amenisamehe by Israel Mbonyi
END
Please Rate this Lyrics by Clicking the STARS below
Also click to Follow US on FaceBook, InstaGram, and Twitter
Lyrics of Amenisamehe
Israel Mbonyi Amenisamehe Lyrics
Please Add a comment below if you have any suggestions.
Thank you & God Bless you!
The Lyrics are the property and Copyright of the Original Owners
Lyrics here are For Personal and Educational Purpose only!
Amenisamehe Lyrics Israel Mbonyi
*COPYRIGHT DISCLAIMER*
We do not own any of the songs nor the images featured on this website.
All rights belong to its original owner/owners.
No copyright infringement is intended.
We STRONGLY advice you purchase tracks from outlets provided by the original owners.
Contents here are for promotional purposes only.
Israel Mbonyi – Amenisamehe Lyrics
Lyrics Amenisamehe
#Amenisamehe
UNDIGNIFIED (Excuse Me) Lyrics by Dunsin Oyekan
#Israel Mbonyi Amenisamehe
#Amenisamehe by Israel Mbonyi
Israel Mbonyi Amenisamehe
Added by
Comments are off this post